SHUBUHATI

Shubuhati na majibu ya kielimu kwa ufupi na kwa mpangilio.


SHUBHA YA KURITADI KWA MASWAHABA
SHUBHA YA KURITADI KWA MASWAHABA
Mashia wanadai kuwa Maswahaba waliritadi baada ya kufa Mtume Muhammad na hakuthubutu katika uislamu ila wachache na katika hoja yao hiyo wanaitolea dalili aya ya Mwenyezi Mungu aliyetukuka: وما محمدٌ إلا رسول قد خلت من ق
ATAKAE KUFA NA ASIMJUE IMAMU WA ZAMA ZAKE BASI ATAKUFA KIFO CHA JAHILIA
ATAKAE KUFA NA ASIMJUE IMAMU WA ZAMA ZAKE BASI ATAKUFA KIFO CHA JAHILIA
Katika shubuhati za mashia katika kuithibitisha itikadi hii ya uimamu ni hadithi hii ambao utaipata katika vitabu vyote vya kishia [من مات ولم يعرف إمام زمانه مات ميتة جاهلية] [Atakae kufa na asimjue imamu wa zama zake a
EWE ALI, WEWE KWANGU NI KAMA MFANO WA HARUNI KWA MUSA
EWE ALI, WEWE KWANGU NI KAMA MFANO WA HARUNI KWA MUSA
Katika shubuhati za mashia katika kuitetea itakadi yao ya Uimamu ni hadithi ya Bwana Mtume alipomwambia Sayyidna Ali Radhi za Allah ziwe juu yake, [يا علي أنت مني بمنزلة هارون من موسى إلا أنه لا نبي بعدي] رواه البخاري وم
MADAI YA KUPIGWA BIBI FATIMA (R.A) NA MASWAHABA
MADAI YA KUPIGWA BIBI FATIMA (R.A) NA MASWAHABA
Katika shubuhati wanazo dai Mashia kuwa kikundi cha maswahaba kikiongozwa na Sayyidna Umar na Khalid bin Al-waleed radhi za Allah ziwe juu yao walivamia nyuma ya bibi Fatima radhi za Allah ziwe juu yake. Wakampiga mpaka