ITIKADI

Itikadi ya Ahlus-Sunna na ufafanuzi wa misingi kwa uwazi.


ITIKADI YA MASHIA JUU TUQYA
ITIKADI YA MASHIA JUU TUQYA
Amesema mmoja wa Wanavyuoni wao wa zama hizi kuwa: “Taqiyyah ni kitendo cha mtu kusema au kufanya kinyume na vile anavyoitakidi, kwa lengo la kujikinga na madhara yeye au mali yake au kulinda utu na heshima yake.”(1) Na
ITIKADI YA MASHI KUHUSU MAKALIFA WA TATU
ITIKADI YA MASHI KUHUSU MAKALIFA WA TATU
Mashia wanaitikadi kuwa Maswahaba Watukufu mfano Abubakar,Omar ,Othuman ni Watu waovu mno ,Makafiri,Wanafiki na Masanamu. • Amesema Al-Majilis :- “وعقيدتنا أننا نتبرأ من الأصنام الأربعة :أبي بكر وعمر وعثمان ومعاوية ,والن
ITIKADI YA MASHIA JUU YA UDONGO WA KARBALAA
ITIKADI YA MASHIA JUU YA UDONGO WA KARBALAA
Makusudio ya udongo katika itikadi ya Raafidhwah, ni udongo wa kaburi ya Husayn (Radhiya Allaahu ´anhu) ameeleza mmoja wa wapotevu miongoni mwao aitwae Muhammad An-Nu’umaan Al-Haarithiy, ambae wanamuita ‘Ash-Shaykh Al-Mu
ITIKADI YA MASHIA JUU YA MASWAHABA
ITIKADI YA MASHIA JUU YA MASWAHABA
Kabla ya kuelezea itakadi ya mashia juu ya Maswahaba kwanza tueleze itikadi ya Muislamu anavyo itakidi juu ya maswahaba wa Bwana Mtume ﷺ. Sisi waislamu tunaamini kuwa Maswahaba wote ni waadilifu,na wao ndio wanafunzi bor
ITIKADI YA AL-BADAA
ITIKADI YA AL-BADAA
Al-Badaa maana yake ni kudhihiri baada ya kutoweka, au kwa maana ya kuanzishwa kwa rai mpya. Na neno hili (Al-Badaa kwa maana zote mbili linamaanisha kuwepo hali ya kutojua jambo kisha kujua kunakuja baadae, na mambo yot
1 / 2